19 Tumepatana mimi nawe, na baba yangu na baba yako; angalia, nimekuletea zawadi, fedha na dhahabu; basi nenda, uyavunje mapatano yako na Baasha mfalme wa Israeli, ili aniondokee mimi.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 15
Mtazamo 1 Fal. 15:19 katika mazingira