1 Fal. 15:22 SUV

22 Ndipo mfalme Asa akatangaza kwa Yuda pia; asiachiliwe mtu; nao wakayachukua mawe ya Rama na miti yake, aliyoijengea Baasha; naye mfalme Asa akajenga kwa vitu hivyo Geba wa Benyamini na Mispa.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 15

Mtazamo 1 Fal. 15:22 katika mazingira