1 Fal. 15:29 SUV

29 Ikawa mara alipotawala, akawapiga nyumba yote ya Yeroboamu. Hakumwachia Yeroboamu mwenye pumzi ye yote, hata alipomharibu sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa mtumishi wake Ahiya, Mshiloni;

Kusoma sura kamili 1 Fal. 15

Mtazamo 1 Fal. 15:29 katika mazingira