33 Katika mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya alianza kutawala juu ya Israeli wote huko Tirza, akatawala miaka ishirini na minne.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 15
Mtazamo 1 Fal. 15:33 katika mazingira