1 Fal. 16:2 SUV

2 Kwa kuwa mimi nilikuinua kutoka katika mavumbi, na kukufanya uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli; nawe umeiendea njia ya Yeroboamu, na kuwakosesha watu wangu Israeli, hata wanighadhibishe kwa makosa yao;

Kusoma sura kamili 1 Fal. 16

Mtazamo 1 Fal. 16:2 katika mazingira