1 Fal. 16:34 SUV

34 Katika siku zake, Hieli Mbetheli akajenga Yeriko; akatia misingi yake kwa kufiwa na Abiramu mzaliwa wake wa kwanza, na kuyaweka malango yake kwa kufiwa na mwana wake mdogo Segubu; sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa Yoshua mwana wa Nuni.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 16

Mtazamo 1 Fal. 16:34 katika mazingira