1 Fal. 16:9 SUV

9 Na mtumwa wake Zimri, jemadari wa nusu ya magari yake, akamfanyia fitina; alipokuwako Tirza akinywa hata kulewa nyumbani mwa Arsa, aliyekuwa juu ya nyumba huko Tirza;

Kusoma sura kamili 1 Fal. 16

Mtazamo 1 Fal. 16:9 katika mazingira