1 Fal. 17:10 SUV

10 Basi, akaondoka, akaenda Sarepta; hata alipofika langoni pa mji, kumbe! Mwanamke mjane alikuwako akiokota kuni; akamwita, akamwambia, Niletee, nakuomba, maji kidogo chomboni nipate kunywa.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:10 katika mazingira