1 Fal. 17:21 SUV

21 Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 17

Mtazamo 1 Fal. 17:21 katika mazingira