1 Fal. 18:19 SUV

19 Basi sasa upeleke watu, unikusanyie jamii ya Israeli katika mlima wa Karmeli, na wale manabii wa Baali mia nne na hamsini, na wale manabii wa Ashera mia nne, walao chakula mezani pa Yezebeli.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:19 katika mazingira