1 Fal. 18:29 SUV

29 Ikawa, wakati wa adhuhuri ulipopita, walitabiri hata wakati wa kutoa dhabihu ya jioni; lakini hapakuwa na sauti, wala aliyejibu, wala aliyeangalia.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:29 katika mazingira