1 Fal. 18:37 SUV

37 Unisikie, Ee BWANA, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, BWANA, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 18

Mtazamo 1 Fal. 18:37 katika mazingira