1 Fal. 19:4 SUV

4 Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 19

Mtazamo 1 Fal. 19:4 katika mazingira