6 Akatazama, kumbe! Pana mkate umeokwa juu ya makaa, na gudulia la maji, kichwani pake. Akala, akanywa, akajinyosha tena.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 19
Mtazamo 1 Fal. 19:6 katika mazingira