1 Fal. 2:11 SUV

11 Na siku alizotawala Daudi juu ya Israeli zilikuwa miaka arobaini; huko Hebroni alitawala miaka saba, na katika Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:11 katika mazingira