1 Fal. 2:33 SUV

33 Hivyo damu yao itarudi kichwani pa Yoabu, na kichwani pa wazao wake hata milele; ila kwa Daudi, na kwa wazao wake, na kwa nyumba yake, na kwa kiti chake cha enzi, kutakuwa na amani hata milele kutoka kwa BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:33 katika mazingira