38 Naye Shimei akamwambia mfalme, Neno hili ni jema; kama alivyosema bwana wangu mfalme, ndivyo atakavyofanya mtumwa wako. Basi Shimei akakaa Yerusalemu siku nyingi.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 2
Mtazamo 1 Fal. 2:38 katika mazingira