1 Fal. 2:40 SUV

40 Shimei akaondoka, akatandika punda wake, akaenda Gathi kwa Akishi, ili kuwatafuta watumwa wake. Akaenda Shimei, akawaleta watumwa wake toka Gathi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:40 katika mazingira