1 Fal. 2:42 SUV

42 Basi, mfalme akatuma watu, akamwita Shimei, akamwambia, Je! Sikukuapisha kwa BWANA, na kukushuhudia, kusema, Siku ile ya kutoka kwako ukienda mahali po pote, ujue hakika ya kwamba kufa utakufa? Nawe ukaniambia, Neno hili nililolisikia ni jema?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:42 katika mazingira