1 Fal. 2:44 SUV

44 Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:44 katika mazingira