1 Fal. 2:7 SUV

7 Lakini uwafanyie mema wana wa Barzilai Mgileadi, wawe miongoni mwao walao mezani pako; kwa jinsi walivyonijilia nilipokuwa nimekimbia mbele ya Absalomu, ndugu yako.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 2

Mtazamo 1 Fal. 2:7 katika mazingira