15 Ndipo akawaandika vijana wa maliwali wa majimbo, nao walikuwa mia mbili thelathini na wawili; kisha baada ya hao akawaandika watu wote, wana wa Israeli wote, nao walikuwa elfu saba.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:15 katika mazingira