1 Fal. 20:25 SUV

25 Kisha ujihesabie jeshi, kama jeshi lililokupotea, farasi kwa farasi na gari kwa gari; nasi tutapigana nao katika nchi tambarare, na bila shaka tutawashinda. Akaisikiliza sauti yao, akafanya kama hivyo.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:25 katika mazingira