1 Fal. 20:28 SUV

28 Akaja yule mtu wa Mungu, akamwambia mfalme wa Israeli, akasema, BWANA asema hivi, Kwa sababu Washami wamesema, BWANA ni Mungu wa milima wala si Mungu wa nchi tambarare; basi nitawatia makutano haya yote walio wengi mkononi mwako, nanyi mtajua ya kuwa ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:28 katika mazingira