36 Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya BWANA, angalia, mara ukitoka kwangu simba atakuua. Na mara alipotoka kwake, simba alimwona, akamwua.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:36 katika mazingira