1 Fal. 20:42 SUV

42 Akamwambia, BWANA asema hivi, Kwa sababu umemwachilia atoke mkononi mwako mtu niliyemweka ili aangamizwe kabisa, roho yako itakuwa mahali pa roho yake, na watu wako mahali pa watu wake.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 20

Mtazamo 1 Fal. 20:42 katika mazingira