1 Fal. 21:15 SUV

15 Ikawa Yezebeli aliposikia ya kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe na kufa, Yezebeli akamwambia Ahabu, Inuka, ulitamalaki shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, alilokataa kukupa kwa fedha, maana Nabothi hako hai, lakini amekufa.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 21

Mtazamo 1 Fal. 21:15 katika mazingira