1 Fal. 22:15 SUV

15 Na alipokuja kwa mfalme, mfalme alimwambia, Je! Mikaya, tuende Ramoth-Gileadi kupiga vita, au tunyamaze? Akamwambia, Kwea, ufanikiwe; kwa kuwa BWANA atautia mkononi mwa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:15 katika mazingira