17 Akasema, Naliwaona Waisraeli wote wametawanyika milimani, kama kondoo wasio na mchungaji. BWANA akasema, Hawa hawana bwana; na warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:17 katika mazingira