1 Fal. 22:22 SUV

22 BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:22 katika mazingira