1 Fal. 22:39 SUV

39 Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji yote aliyoijenga, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:39 katika mazingira