1 Fal. 22:4 SUV

4 Akamwambia Yehoshafati, Je! Utakwenda nami tupigane na Ramoth-gileadi? Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako na farasi zangu ni kama farasi zako.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:4 katika mazingira