52 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akaiendea njia ya babaye, na njia ya mamaye, na njia ya Yeroboamu mwana wa Nebati, aliyewakosesha Israeli.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 22
Mtazamo 1 Fal. 22:52 katika mazingira