1 Fal. 22:6 SUV

6 Ndipo mfalme wa Israeli akawakusanya pamoja manabii, kama watu mia nne. Akawaambia Je! Niende juu ya Ramoth-Gileadi kuupiga vita, au ninyamaze? Wakasema Kwea; kwa kuwa BWANA atautia mkononi mwa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 22

Mtazamo 1 Fal. 22:6 katika mazingira