1 Fal. 3:18 SUV

18 Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 3

Mtazamo 1 Fal. 3:18 katika mazingira