1 Fal. 3:20 SUV

20 Akaondoka kati ya usiku, akamwondoa mtoto wangu ubavuni pangu, mimi mjakazi wako nilipokuwa usingizini, akamweka kifuani pake, na mtoto wake mwenyewe, aliyekuwa amekufa, akamweka kifuani pangu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 3

Mtazamo 1 Fal. 3:20 katika mazingira