1 Fal. 3:28 SUV

28 Na Israeli wote wakapata habari za hukumu ile aliyoihukumu mfalme wakamwogopa mfalme; maana waliona ya kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake, ili afanye hukumu.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 3

Mtazamo 1 Fal. 3:28 katika mazingira