21 Sulemani akatawala juu ya falme zote, toka Mto mpaka nchi ya Wafilisti, na hata mpaka wa Misri; walimletea tunu, na kumtumikia Sulemani siku zote za maisha yake.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 4
Mtazamo 1 Fal. 4:21 katika mazingira