24 Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 4
Mtazamo 1 Fal. 4:24 katika mazingira