1 Fal. 4:33 SUV

33 Akanena habari za miti tangu mwerezi ulioko Lebanoni hata hisopo umeao ukutani; pia akanena habari za wanyama, na za ndege, na vitambaavyo, na samaki.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 4

Mtazamo 1 Fal. 4:33 katika mazingira