1 Fal. 5:11 SUV

11 Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano, chakula cha watu wake, na kori ishirini za mafuta safi. Ndizo Sulemani alizompa Hiramu mwaka kwa mwaka.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 5

Mtazamo 1 Fal. 5:11 katika mazingira