1 Fal. 6:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa mia nne na themanini baada ya kutoka wana wa Israeli katika nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Sulemani juu ya Israeli, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa pili, akaanza kuijenga nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 6

Mtazamo 1 Fal. 6:1 katika mazingira