1 Fal. 6:24 SUV

24 Na bawa moja la kerubi lilikuwa mikono mitano urefu wake, na bawa la pili la kerubi mikono mitano; mikono kumi toka mwisho wa bawa moja hata mwisho wa bawa la pili.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 6

Mtazamo 1 Fal. 6:24 katika mazingira