1 Fal. 6:3 SUV

3 Na ukumbi mbele ya hekalu la nyumba, urefu wake ulikuwa mikono ishirini, kadiri ya upana wa nyumba; na upana wake mikono kumi mbele ya nyumba.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 6

Mtazamo 1 Fal. 6:3 katika mazingira