1 Fal. 7:16 SUV

16 Akafanya taji mbili za shaba iliyoyeyushwa za kuwekwa juu ya vichwa vya nguzo; kwenda juu kwake taji moja mikono mitano, na mikono mitano kwenda juu kwake taji ya pili.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:16 katika mazingira