1 Fal. 7:18 SUV

18 Hivyo akazifanya nguzo; na kulikuwa na safu mbili za kuzunguka juu ya wavu mmoja, zifunike taji zilizokuwako juu ya vichwa vya nguzo; akafanya vivyo hivyo kwa taji ya pili.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:18 katika mazingira