1 Fal. 7:2 SUV

2 Kwa kuwa aliijenga nyumba ya mwitu wa Lebanoni; mikono mia urefu wake, na mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake, juu ya safu nne za nguzo za mwerezi, na mihimili ya mwerezi juu ya nguzo.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:2 katika mazingira