23 Tena akaifanya bahari ya kusubu, mikono kumi toka ukingo hata ukingo, ikaviringana, na mikono mitano ilikuwa kwenda juu kwake; na uzi wa mikono thelathini kuizunguka kabisa.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 7
Mtazamo 1 Fal. 7:23 katika mazingira