1 Fal. 7:38 SUV

38 Akafanya birika kumi za shaba; birika moja huingia bathi arobaini; na kila birika ilikuwa mikono minne; birika moja juu ya tako moja, katika yale matako kumi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:38 katika mazingira