48 Sulemani akavifanya vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa BWANA; madhabahu ya dhahabu, na ile meza iliyokuwa na mikate ya wonyesho juu yake ilikuwa ya dhahabu;
Kusoma sura kamili 1 Fal. 7
Mtazamo 1 Fal. 7:48 katika mazingira